Habari Jeremiah, hamjambo wanakundi,
njia ya kawaida ya kushiriki katika wikipedia ni kutunga na/au
kusahihisha makala. Kwa jumla tuna upungufu mkubwa wa makala za Kenya.
Kama yeyote angependa kuchangia hapa, basi tushauriane kuanza wapi!
Kama mkazo wenu uko katika mambo ya intaneti na kompyuta, basi kuna kazi
ya kupitilia makala zilizopo tayari (kwa kuangalia jamii:kompyuta,
jamii:intaneti). Naona vema kama mnaweza kutambulisha msamiati wa Kilinux.
Changamoto kubwa hapo ni tuna misamiati (vocabularies) tofauti
zinazopatikana sambamba, kama vile ule kutokana na localization ya
Microsoft, ya Google, ya Kilinux ya zamani (nilitumia mwenyewe orodha
niliyohifadhi kama miaka 10 (?) iliyopita, halafu matumizi ilikuwa
kawaida bila usafinishaji. Tena kuna "Kamusi ya Kompyuta" ambayo ni
kubwa, iliyotolewa na Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili ya Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam ( nina nakala ya pdf, ingawa kwa kiasi kikubwa nimepata
picha ilikuwa "tamasha ya mtu mmoja" (one-man-show).
Pale tunapokuta istilahi zisizosanifishwa hali halisi, tunatumia mara
nyingi mbinu wa kutaja istilahi mbadala (alternative terminologies) na
kuunda makala ya Redirect (maana ukitafuta -tuseme- "Panya" au "mouse"
utapelekwa "Puku"- cjui kwenu Kilinux siku hii ni jina gani).
Kama tungekaa karibu zaidi tungepanga warsha ya pamoja. Kama kwenu yuko
mtu aliye hodari kutunga filamu fupi anaweza kutumia
"Wikipedia:Mwongozo" na kufanya kuwa ama filamu au slideshow.
Menginevyo nitarudi tena Nairobi mwisho wa Desemba kwa siku chache, niko
pia mwanzo wa Januari. Kwa wale wanaopenda kukutana na kufanya mazoezi
kidogo tunaweza kutafuta siku inayofaa (najua si wakati nzuri ilhali
wengi watakuwa wamesafiri...)
Ukiwa na mawazo mengine - karibu sana kuchangia!
Ndimi wenu
Ingo - mtumiaji:Kipala
Am 18.11.2019 um 12:40 schrieb Jeremiah Rotich:
Jambo Ingo Koll,
Kama mwakilishi wa Swahilinux, tungependa kushiriki kwenye wikipedia ya Kiswahili kwa njia yoyote ile tuwezayo.
Asante.
Jeremiah Rotich.
On Mon, Nov 18, 2019 at 1:36 PM Jeremiah Rotich <authjeremmy@xxxxxxxxx <mailto:authjeremmy@xxxxxxxxx>> wrote:
Jambo nyote,
Ninaona kuwa kila kundi linafanya vyema kwenye miradi mnayoendelea
nayo.
Nimeona Swali la ndugu Benson akiuliza jinsi ambavyo tunaendelea
na Swahilinux. Tuliahidi kuwa mwezi wa Desemba tutao mfumo wa
uendeshaji katika hali ya majaribio na tunatumai kuwa tutafanya
hivyo. Tuliweza kusasisha na kusanidi vyema Weblate kwenye seva
zetu https://tafsiri.swahilinux.org na tumeweka miradi tofauti ili
kuhakikisha kuwa tafsiri inaendelea vyema. Tumeweza kuchukua
wadhifa wa usimamizi wa tafsir katika lugha ya Kiswahili kwenye
mfumo wa matumizi ya Ubuntu na GNU ya FSF.
Tumeweza kutengeneza uhusioano mwema na maelewano na shirika
kadhaa ambazo tunatumai kuwa tutaweza kufanya kazi pamoja.
Ifikapo siku ya kutoa toleo hilo la majaribio tutawatangazia nyote
ili muweze kuhudhuria.
Asanteni.
Jeremiah Rotich.
On Fri, Nov 15, 2019 at 12:07 AM Ingo Koll <ikoll@xxxxxx
<mailto:ikoll@xxxxxx>> wrote:
Ndugu Benson,
habari?
Niko wikendi hii Nairobi. Je kuna wanachama ambao wangependa
kukutana Jumamosi sehemu za Westlands / Limuru Road na kuongea
kuhusu wikipedia, labda pia kupata maelezo fupi kuhusu kuhariri?
Simu yangu ni +254 773 767 421 hadi Jtatu asubuhi.
Ndimi wako
Ingo (aka mtumiaji:kipala wa sw wikipedia)
Am 07.10.2019 um 06:30 schrieb Benson Muite:
Hujambo,
Nimeandika kidogo, na nimeongeza picha:
https://sw.wikipedia.org/wiki/Lodwar
Nitaendelea kuandika, na kuuliza watu hapa kuandika.
Common voice ni mradi kuchanga rekodi ya watu wanaongea na
lugha yote. Unaweza kuisoma hapa https://voice.mozilla.org/.
Umeandika akili ya kichakato (artificial intelligence) si
nzuri kutafsiri wikipedia vizuri, lakini, ikiwa mtu anataka
kujua kidogo vile mtu mwingine amesema, na hakuna mtu hapo
anaweza kutafsiri vizuri, akili ya kichakato inaweza
kumsaidia. Mchango ya rekodi ya watu wanaongea na lugha
tofauti inweza kutumia kujenga akili ya kichakato ya kutafsiri.
Ndimi,
Benson
On 10/6/19 1:11 AM, Ingo Koll wrote:
Kumbe, Lodwar!
sawa umeshawaza unapenda kuandika kuhusu nini? Unajisikia
unaanza tu au ungepemda kupata kwanza mwongozo kidogo?
Jeremiah anafanya nini kwa Linux? Common voice ni kitu gani?
Kipala
Am 05.10.2019 um 18:50 schrieb Benson Muite:
Hujambo Kipala,
Sasa, iko Lodwar, lakini wengi wako Nairobi. Nitajaribu
kuandika kidogo kwa Wikipedia ya Kiswahili. Jeremiah Rotich
anaendela swahili linux:
https://github.com/swahilinux
Kevin Omondi anaendelea common voice. Unaweza kuwaluliza ni
wengapi wanafanya kazi.
Ndimi,
Benson
On 10/5/19 7:26 PM, Ingo Koll wrote:
Habari zako Benson, hujambo.
Nimefurahi kuona barua yako. Kupata washiriki kutoka Kenya
ni jambo zuri sana, ninawakaribisha kwa mikono yote miwili.
Labda utuambie kidogo zaidi. Ukiuliza "tunaweza kushiriki"
- wenzako ni nani na wangapi ? Je mko nyote Nairobi?
Mnalenga kushiriki katika Wikipedia ya Kiswahili?
Mnaye mtu aliyewahi kutumia wikipedia, au labda pia
kuandika mle?
Kimsingi wikipedia ni mradi wa kujitolea, maudhui yote ni
tokeo la watu kufungua akaunti na kuchangia. Ni vema
kuwasiliana na kupanga kazi pamoj, hasa kwa hao wanaoingia
mara ya kwanza maana kutuga makala za kamusi elezo ni
tofauti kuliko mitandao ya kijamii au makundi ya majadiliano.
Hata hivyo: Karibu sana!
Kipala
Am 05.10.2019 um 09:26 schrieb Benson Muite:
Hujambo Bw Mandele, Bw. Mtavangu na Bw. Kipala,
Kuna watu hapa Kenya wanatakua kutumia Kiswahili
mtandaoni. Tunaweza kushiriki na nyinyi?
Orodha ya barua pepe ni:
zungumza@xxxxxxxxxxxxx <mailto:zungumza@xxxxxxxxxxxxx>
Kuitumia, tuma barua pepe kwa
zungumza-request@xxxxxxxxxxxxx
<mailto:zungumza-request@xxxxxxxxxxxxx>
kwa mstari (subject) uandike 'subscribe'
Ndimi,
Benson Muite
-------- Forwarded Message --------
Subject: Re: Project request for Swahili (sw)
Date: Thu, 3 Oct 2019 08:19:37 -0700
From: Peiying Mo <pmo@xxxxxxxxxxx> <mailto:pmo@xxxxxxxxxxx>
To: Kevin Ochieng’ Omondi <komondi@xxxxxxxxxxxxxx>
<mailto:komondi@xxxxxxxxxxxxxx>
CC: Benson Muite <benson_muite@xxxxxxxxxxxxx>
<mailto:benson_muite@xxxxxxxxxxxxx>, Jeremiah Rotich
<authjeremmy@xxxxxxxxx> <mailto:authjeremmy@xxxxxxxxx>,
tom denton <sdenton4@xxxxxxxxx>
<mailto:sdenton4@xxxxxxxxx>, Daniel Machanje
<dmachanje@xxxxxxxxxxxxxx>
<mailto:dmachanje@xxxxxxxxxxxxxx>,
michael@xxxxxxxxxxxxxxxxx <mailto:michael@xxxxxxxxxxxxxxxxx>
Hello Kevin,
You are officially the community manager for Swahili in
Pontoon. You can "approve" the suggestions you made in
the system. The Pontoon user guide will have the details.
And I am here to help in case it doesn't make any sense.
I hope more of you will be onboard to Pontoon. I would
like to make a mention of the "revived" Swahili community
in our Localization Monthly Report.
Thank you,
Peiying
On Thu, Oct 3, 2019 at 1:56 AM Kevin Ochieng’ Omondi
<komondi@xxxxxxxxxxxxxx <mailto:komondi@xxxxxxxxxxxxxx>>
wrote:
Hello all,
Thank you Peiying for the clarification. Three days
ago, Benson asked some questions and I think you have
addressed them well. Now on his questions (b) and
(c), my responses are as below.
b) Is a common African or East African language
mailing list of interest? This would be low volume,
main aim is to identify similar projects where
collaboration can be helpful. A wiki could also serve
a similar purpose.
* This would be of interest and as you have said
"low volume," it can be of future help once our
main objectives are met. Benson you can go ahead
and create the list.
c) Kevin - will you also serve as manager role for
other Swahili projects in Pontoon? If not, might this
role suite someone from Swahilinux, since browser
language support would be helpful.
* Peiying has addressed the manager role, my team
and I are for now interested in Common Voice.
Anyone from Swahilinux who can help us in pushing
this project, among other projects of their
interest can volunteer to be Manager, my
colleague Dan and I can serve as a translators in
that case since we can always get contributors.
* In case the manager role for someone in
Swahilinux is going to be too demanding, I can
therefore be manager so that we still meet our
objectives.
I will let Swahilinux team brief us on what they have
decided based on my concerns above.
Thanks
On Thu, Oct 3, 2019 at 9:11 AM Peiying Mo
<pmo@xxxxxxxxxxx <mailto:pmo@xxxxxxxxxxx>> wrote:
Hello All,
I am so glad to see all these exchanges. Here is
what I can answer or comment on:
- If one is to become a manager, Pontoon only
allows the setting as one for all projects, - we
call it Swahili community manager, not just for
one project.
- Both manager role and translator role can
review and approve a contributor's work. So we
need translator role as well. Manager doesn't
have to do actual translation but translator's
main function is to translate and review other's
work. Translator must be able to produce quality
work without a peer review, although peer review
is highly recommended.
- There are lots of projects within Pontoon.
Beyond Common Voice, if you are interested in any
other products, let me know what they are, so I
can help you prioritize. Some have long release
lead time. I advise you focus on a few so you can
see the release of a product versus spreading
your effort too thin.
In case it got lost in previous communication
threads, here are a few things worth going over:
Pontoon user guide:
https://mozilla-l10n.github.io/localizer-documentation/tools/pontoon/ui.html.
Roles and Responsibilities:
https://mozilla-l10n.github.io/localizer-documentation/community/l10n_community_roles.html
How to give feedback:
https://mozilla-l10n.github.io/localizer-documentation/community/l10n_feedback.html
Given there are a few of you now, it is worth
thinking of developing a glossary list so the
expressions are consistent between contributors.
If there are established glossary (terminology)
list from Microsoft or Apple, feel free to borrow
them. No need to reinvent the wheel.
As for different flavors of Swahili, try to stick
to one. For Common Voice, you will notice that we
have one version of English, French, German,
Spanish and Portuguese... There are accent,
different expressions for the same meaning etc,
but all of them have to come under one language
umbrella.
For now, let me know, after reading the above
about what a manager is for a community, let me
know who you would like to nominate as the
manager. I will enable that person, and let that
person decide the roles of the rest and new ones
to join. The manager can set the roles of the
rest of the communities. You can have two
managers if needed.
Let me know if you have any questions.
Cheers,
Peiying
On Mon, Sep 30, 2019 at 11:27 AM Benson Muite
<benson_muite@xxxxxxxxxxxxx
<mailto:benson_muite@xxxxxxxxxxxxx>> wrote:
Thanks.
a) Will you be adding other (African)
languages other than Kiswahili to common voice?
b) Is a common African or East African
language mailing list of interest? This would
be low volume, main aim is to identify
similar projects where collaboration can be
helpful. A wiki could also serve a similar
purpose.
c) Kevin - will you also serve as manager
role for other Swahili projects in Pontoon?
If not, might this role suite someone from
Swahilinux, since browser language support
would be helpful.
Regards,
Benson
On 9/30/19 8:21 PM, Jeremiah Rotich wrote:
Thanks for the update Kevin. Since
Swahilinux aims at creating the first
Swahili Based Operating System, I would wish
to personally, on behalf of the entire
Swahilinux Community, get involved with your
pontoon common Swahili voice project if
you'll accept my request.
On Mon, Sep 30, 2019 at 6:33 PM Kevin
Ochieng’ Omondi <komondi@xxxxxxxxxxxxxx
<mailto:komondi@xxxxxxxxxxxxxx>> wrote:
Hello All,
Thanks all for the feedback. I have been
away and I think the suggestions made
here are great. Now, responding to
Peiying's suggestions, I already talked
to my team and I can take the manager
role (for common voice) for sometime so
that we can push the data to a point it
can get to the staging server.
Benson and Jeremiah; for now, my team's
(I, Tom and Dan) objective is to work
solely on the Mozilla Pontoon Common
Voice project. It already seems that you
both are already involved in very
interesting projects, and for sure, once
my team and I are done with this, we
will be more than glad to contribute to
your projects too.
Moving forward, after being assigned the
role of the manager, I will be able to
communicate further any action points to
ensure progress and not just
"suggestions" as Peiying says.
I wish you all the best and I hope to
hear from you soon.
On Mon, Sep 23, 2019 at 9:52 PM Peiying
Mo <pmo@xxxxxxxxxxx
<mailto:pmo@xxxxxxxxxxx>> wrote:
Hello All,
Good to hear that you have started
collaborating. I like the idea of
creating a mailing list for the
community so you can communicate
more easily and more focused. Not
sure what other communication
channels that are popular. Many
communities use Telegram, some add
us to their channel in case they
have questions, they can ping us.
Also, it is really important to
"elect" a manager and/or translator,
otherwise, all your work are
suggestions, and you won't see them
on staging server. Both manager and
translator roles can review the work
of a contributor. Once review is
done, it becomes official and can
start to be counted as finished work.
I will let you decide on that.
Thank you,
Peiying
On Mon, Sep 23, 2019 at 7:44 AM
Benson Muite
<benson_muite@xxxxxxxxxxxxx
<mailto:benson_muite@xxxxxxxxxxxxx>>
wrote:
Hi Kevin,
Thanks for your reply. Currently
in Lodwar. Have mostly been
looking at software translation,
particular projects include:
SuperTuxKart - mostly done, but
needs grammar improvements
(https://www.transifex.com/supertuxkart/supertuxkart/)
Deepin Desktop - just starting,
(https://www.transifex.com/linuxdeepin/deepin-desktop-environment/)
Firefox for Android (though
Kiswahili seems to have now
disappeared -
https://pontoon.mozilla.org/contributors/xHMAhiELtOSU8mgRyq5aFWHCvMI/)
Also have interests in open
shared corpora for training
statistical and machine learning
translation systems.
Regards,
Benson
On 9/23/19 5:22 PM, Kevin
Ochieng’ Omondi wrote:
Hello Benson,
Thanks for reaching out. We had
a meeting last week with my
team and Authur as well. I was
nice to hear what he was
working on and we'll set a
meeting with him since he's
also here in Nairobi so that we
can get to know more. We are
working on building the common
voice dataset which is already
on Pontoon.
Maybe you can do a small
briefing on what you're working
on or we can invite you on our
next call for a quick chat.
Thanks
On Mon, Sep 23, 2019 at 6:11 AM
Benson Muite
<benson_muite@xxxxxxxxxxxxx
<mailto:benson_muite@xxxxxxxxxxxxx>>
wrote:
Hi Kevin,
Thanks for your message.
Sorry, was not available
last week. Do you have a
summary? Have you decided
on a way forward? Might it
be worth setting up a
general Swahili translation
mailing list that could
incorporate translators
from other countries as well?
Regards,
Benson
On 9/10/19 5:48 PM, Kevin
Ochieng’ Omondi wrote:
Hello Benson,
I responded to the email
by Peiying last week. My
team (Dr. Tom, Dan)
all copied, and I, are
interested in working on
localizing Common voice in
Swahili. We had a hangout
meeting today and we
suggested based on your
concerns, that it would be
good to invite you and any
other person reading this
email to our hangout
meeting next week. This is
to find out what the
contributors have done so
far and from that we can
discuss the way forward.
Kindly let us know
your availability. Our
hangout meeting for next
week is scheduled on
Tuesday 17th 07:00 - 08:00
East African Time (EAT).
Thanks
-- /Kind Regards./
/
/
/OMONDI KEVIN OCHIENG'/
/TEACHING FELLOW,
INFORMATICS AND COMPUTER
SCIENCE/
/FACULTY OF INFORMATION
TECHNOLOGY
STRATHMORE UNIVERSITY
PO Box 59857-00200,
Nairobi, Kenya.
*Email*:
//komondi@xxxxxxxxxxxxxx
<mailto:komondi@xxxxxxxxxxxxxx>//,
kevochi09@xxxxxxxxx
<mailto:kevochi09@xxxxxxxxx>/
/*Mobile: +254 713 049852*/
*Note: *All emails sent
from Strathmore University
are subject to
Strathmore’s Email Terms &
Conditions. Please click
here
<http://www.strathmore.edu/en/email-policy>
to read the policy.
*
*
"Visit our Facebook
<https://www.facebook.com/StrathmoreUniversity>Page
and Twitter
<https://twitter.com/StrathU>Account".
-- /Kind Regards./
/
/
/OMONDI KEVIN OCHIENG'/
/TEACHING FELLOW, INFORMATICS
AND COMPUTER SCIENCE/
/FACULTY OF INFORMATION TECHNOLOGY
STRATHMORE UNIVERSITY
PO Box 59857-00200, Nairobi, Kenya.
*Email*:
//komondi@xxxxxxxxxxxxxx
<mailto:komondi@xxxxxxxxxxxxxx>//,
kevochi09@xxxxxxxxx
<mailto:kevochi09@xxxxxxxxx>/
/*Mobile: +254 713 049852*/
*Note: *All emails sent from
Strathmore University are
subject to Strathmore’s Email
Terms & Conditions. Please
click here
<http://www.strathmore.edu/en/email-policy>
to read the policy.
*
*
"Visit our Facebook
<https://www.facebook.com/StrathmoreUniversity>Page
and Twitter
<https://twitter.com/StrathU>Account".
-- /Kind Regards./
/
/
/OMONDI KEVIN OCHIENG'/
/TEACHING FELLOW, INFORMATICS AND
COMPUTER SCIENCE/
/FACULTY OF INFORMATION TECHNOLOGY
STRATHMORE UNIVERSITY
PO Box 59857-00200, Nairobi, Kenya.
*Email*: //komondi@xxxxxxxxxxxxxx
<mailto:komondi@xxxxxxxxxxxxxx>//,
kevochi09@xxxxxxxxx
<mailto:kevochi09@xxxxxxxxx>/
/*Mobile: +254 713 049852*/
*Note: *All emails sent from Strathmore
University are subject to Strathmore’s
Email Terms & Conditions. Please click
here
<http://www.strathmore.edu/en/email-policy>
to read the policy.
*
*
"Visit our Facebook
<https://www.facebook.com/StrathmoreUniversity>Page
and Twitter
<https://twitter.com/StrathU>Account".
-- /Kind Regards./
/
/
/OMONDI KEVIN OCHIENG'/
/TEACHING FELLOW, INFORMATICS AND COMPUTER SCIENCE/
/FACULTY OF INFORMATION TECHNOLOGY
STRATHMORE UNIVERSITY
PO Box 59857-00200, Nairobi, Kenya.
*Email*: //komondi@xxxxxxxxxxxxxx
<mailto:komondi@xxxxxxxxxxxxxx>//,
kevochi09@xxxxxxxxx <mailto:kevochi09@xxxxxxxxx>/
/*Mobile: +254 713 049852*/
*Note: *All emails sent from Strathmore University
are subject to Strathmore’s Email Terms & Conditions.
Please click here
<http://www.strathmore.edu/en/email-policy> to read
the policy.
*
*
"Visit our Facebook
<https://www.facebook.com/StrathmoreUniversity>Page
and Twitter <https://twitter.com/StrathU>Account".
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=emailclient>
Virenfrei. wwwavast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=emailclient>
<#m_4340684084809305532_m_6211172712400418332_DAB4FAD8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>