[zungumza] Re: amaGama - Tafsiri zimetoka programmu wazi

  • From: Benson Muite <benson_muite@xxxxxxxxxxxxx>
  • To: zungumza@xxxxxxxxxxxxx
  • Date: Wed, 20 Nov 2019 14:14:39 +0300

Nd. Jeremiah,

Nafikiri, hakuna programmu mingi zinatumia Kiswahili.  Lakini mkitafsiri, watu watapata hapo.  Nafikiri tunaweza kuandika programmu Weblate itumia amaGama. Mtu wa Fedora alionyesha amaGama, tutaona kama wataitumia pia.

Ndimi,

Benson

On 11/20/19 2:01 PM, Jeremiah Rotich wrote:

Asante Bw Benso,
Nimeitazama amaGama na kwa mtazamo wangu naona ni kama hauna tafsiri nyingi katika lugha ya Kiswahili. Nitafanya mawasiliano nao ili nione jinsi tunavyoweza kushirikiana.


Other related posts: